'Nilidhani ilikuwa siku yangu ya mwisho'

  • | BBC Swahili
    499 views
    Mmoja wa vijana waliookolewa katika gari la waya kaskazini-magharibi mwa Pakistani amezungumza kuhusu mkasa wa saa 15 ambao ulitawala vyombo vya habari duniani. - Hata hivyo Polisi nchini humo wamemkamata mmiliki wa gari hilo la kebo Gul Zareen kwa mashtaka kadhaa ikiwa ni pamoja na kuhatarisha maisha na uzembe. #bbcswahili #pakistan #wanafunzi