'Nilijifunza lugha ya ishara kwa mapenzi niliyonayo kwa mke wangu'
Kijana mmoja ameamua kujifunza lugha ya ishara baada ya kukutana na mpenzi wake miaka mitatu iliyopita mwenye ulemavu wa kutosikia na kuzungumza.
Wapenzi hao wameoana na wanampango wa kuazisha mradi wa watu wenye ulemavu kama njia ya kuwaunganisha na jamii kwa ujumla.
Wawili hao wanapanga kuzindua kanda ya muziki itakayowasilishwa kwa lugha ya ishara.
Je, wawili hawa walipendana kwanini?
#bbcswahili #mapenzi #ulemavu
20 Aug 2025
- Govt in plans to distribute new vehicles by November.
20 Aug 2025
- Ruto's sentiments elicited heated debate among leaders.
20 Aug 2025
- The changes impact payment of deductions.
21 Aug 2025
- India's government introduced a bill on Wednesday to remove top politicians if they are arrested and detained for 30 days, which opponents called a "chilling" bid to crush constitutional safeguards.
21 Aug 2025
- MSMEs urged to embrace AI for enhanced customer experience
21 Aug 2025
- How courts have tamed Ruto's appetite for illegal task forces
21 Aug 2025
- Ruto on diplomatic tightrope as Japan, China vie for favour
21 Aug 2025
- Uncertainty over university fees as CS keeps costs under wraps
21 Aug 2025
- Cost of homes up as UN offices move to Nairobi
21 Aug 2025
- Former deputy president's plans to popularise 'wantam' campaign
21 Aug 2025
- Big blow to President after court blocks his anti-corruption team
21 Aug 2025
- Job loss fears as high taxes, weak demand push firms to the brink
21 Aug 2025
- Court told of missing gun in Rashid's trial