"Nilipata mpenzi, nilipomwambia sioni akapotea ghafla"

  • | BBC Swahili
    657 views
    Francine Niyonkuru ni mtangazaji wa habari asiyeona mwenye umri wa miaka 23 kutoka Burundi. Daima alikuwa na ndoto ya kuwa mwandishi wa habari na hatimaye ndoto hiyo imetimia. Anaelezea changamoto na unyanyapaa ambao amekumbana nao katika kutimiza ndoto yake na Jinsi alivyokabiliana nao hadi kuungwa mkono. #bbcswahili #burundi #ulemavu