'Nilipigwa na babu yangu kwa kutaka kucheza mpira wa miguu'

  • | BBC Swahili
    280 views
    Kundi la wasichana wadogo wenye ndoto za kuwa wanasoka wa kimataifa wanakabiliwa na changamoto katika jamii Kihindi ambayo haijazoea kuona wasichana wakiacha kufanya majukumu ya asili. Baadhi wanaopigania ndoto hiyo wamekuwa wakikabiliana na kebehi na maneno makali kutoka kwa watu wanaowazunguka ikiwemo familia zao. #bbcswahili #india #wanawake