'Nilipokuwa mdogo,nilikataliwa'

  • | BBC Swahili
    522 views
    Ahmed Salami ana umri wa miaka 18 ,kila wakati alikuwa na ndoto ya kuwa maarufu. - Alizaliwa akiwa na usonji (autism), ugonjwa wa kupooza kwa ubongo na ADHD. - Alijifunza kuzungumza akiwa na umri wa miaka sita. - Mama yake anamsaidia kuchapisha video zake za kila wiki kwenye chaneli yake ya YouTube, ambapo huwa anasimulia safari yake yamaisha na kuwapa moyo wengine. - - #bbcswahili #usonji #autism #nigeria #kipaji #umaarufu