'Nilirudi nyumbani kuokoa ndege wangu licha ya makombora ya Israel'

  • | BBC Swahili
    2,425 views
    Kutana na mwanamke mmoja wa Kipalestina anayeishi Gaza aliyeamua kurudi nyumbani kwake kuwaokoa ndege wake licha ya mashambulizi ya makombora ya Israel. Fakhr Taj Hasan Shoqeir, ambaye sasa anapata hifadhi katika hema la muda huko Khan Younis, aliielezea BBC jinsi alivyookoa ndege wake. Amewapa majina ya watoto wake na anasema wao pia, wanaogopa na sauti za mabomu. #bbcswahili #israel #gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw