Nilishauriwa ‘kuzaa’ mapema ili kupona ugonjwa wa Endometriosis

  • | BBC Swahili
    1,261 views
    Ritha Mwambene, Mtanzania ambaye akiwa na umri wa miaka 18 alianza kupata dalili za maumivu yasiyo ya kawaida tangu alipopata hedhi kwa mara ya kwanza. #bbcswahili #waridiwabbc #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw