"Nilitamani hata kujiua nilipopata ulemavu”

  • | BBC Swahili
    411 views
    Neema Chizenga almaarufu ‘Mama Chai’ ni mjasiriamali mwenye ulemavu wa mguu ambao aliupata baada ya kufika kidato cha pili. - Neema mama wa watoto watatu anaelezea safari yake ya mabadiliko kutoka hali ya kuwa mtu mzima hadi mlemavu ilivyomuathiri, na namna alivyopambana katika ujasiriamali licha ya vikwazo vingi. #bbcswahili #tanzania #waridiwabbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw