Skip to main content
Skip to main content

'Nilitokwa na haja ndogo bila kukoma kwa miaka minne'

  • | BBC Swahili
    854 views
    Duration: 6:39
    Kwa miaka mingi aliishi kwa kujificha na katika ukimya mkubwa, akibeba aibu na maumivu ya kile alichokuwa akikipitia. Sababu kuu ikiwa ni ugonjwa wa fistula, Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ya Uzazi, UNFPA, kwa kushirikiana na Wakfu wa Fistula, kati ya visa vipya 1,000 hadi 3,000 vya fistula huripotiwa nchini Kenya kila mwaka. Katika Waridi wa BBC Asha Juma amezungumza na Annifah Adhiambo ambaye amekabiliana na ugonjwa huu kwa miaka 4 📹 Brian Mala #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw