"Nilivyopata matatizo mume wangu akanikimbia"

  • | BBC Swahili
    301 views
    Hii leo dunia inaadhimisha siku ya fistula huku tatizo hilo likionekana bado kuwepo katika nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania ambapo kwa mwaka takriban wagonjwa elfu tatu wanaripotiwa katika maeneo mbalimbali hasa vijijini. Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau ametembelea katika moja ya hospitali maalumu inayotoa matibabu kwa wagonjwa wa fistula na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #fistula