'Nimebaki mimi peke yangu wengine wamefariki':

  • | BBC Swahili
    1,387 views
    Vita ambavyo vimekuwa vikiendelea nchini Sudan kwa muda wa miezi 11 iliyopita vimesababisha mamilioni ya watu kukumbwa na njaa. Vita kati ya jeshi la Sudan na waasi wa Rapid Support Forces ilianza mwezi uliopita wa Aprili baada ya mzozo wa madaraka kati ya viongozi wa pande hizo mbili kuibuka. Mzozo huo umesababisha moja ya maafa makubwa zaidi ya kibinadamu duniani. Zaidi ya watu 14,000 wameuawa na mamilioni wamelazimika kuhama makwao. #bbcswahili #sudan #jeshi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw