"Nimegundua sauti za 'kobe wakizungumza'" Mtafiti

  • | BBC Swahili
    655 views
    Utafiti mpya umebaini kobe iwe ni wakutoka baharini au maji baridi, wanatoa sauti sana kuliko ilivyodhaniwa hapo awali. Mwanabiolojia wa Brazili Gabriel Jorgewich-Cohen alirekodi sauti zinazotolewa na zaidi ya aina 50 za kobe katika vituo vya utafiti huko Ulaya na Brazili. #bbcswahili #utafiti #wanyama