- 4,593 viewsDuration: 1:20Hali ya taharuki imeendelea kutawala katika shule ya Utumishi Girls Academy mjini Gilgil huku wazazi wenye hofu wakitaka majibu kuhusu hatima ya watoto wao kufuatia moto w bweni uliosababisha vifo vya wanafunzi 16. Familia zilizogubikwa na huzuni zilikesha nje ya hospitali, vituo vya polisi na maeneo ya shule hiyo huku mamlaka zikiendelea na uchunguzi wa tukio hilo Wanafunzi 8 wanazuiliwa na polisi kuhusu mkasa huo wa moto shuleni #bbcswahili #motoshuleni #ajaliamoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw