Afisa wa zamani wa vikosi maalum vya Marekani amefichua kwa BBC sababu ya kujiuzulu kazi yake katika vituo vya usambazaji misaada vya Gaza Humanitarian Foundation (GHF), vinavyoungwa mkono na Marekani na Israel.
Anthony Aguilar aliiambia BBC kuwa katika maisha yake yote ya kikazi hajawahi kushuhudia kiwango cha “ukatili na matumizi ya nguvu kupita kiasi na visivyo vya lazima dhidi ya raia wasiokuwa na silaha na wanaokumbwa na njaa.”
GHF imeyataja madai yake kuwa “ya uongo kabisa,” huku Jeshi la Ulinzi la Israel likisisitiza kuwa halijawahi kulenga raia.
#bbcswahili #gaza #palestina
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
2 Aug 2025
- While enumerating productive interventions implemented in various sectors to ensure better livelihoods, the DP said the administration will not relent in nation building and continued pursuit of economic growth.
2 Aug 2025
- A section of residents and school officials from Mukuru kwa Ruben were on Friday blocked from accessing Gatoto Community Primary School, despite a court order that overturned an attempt by the government to register the school under its wings.
2 Aug 2025
- The government has once again trained its guns against activist and politician Reuben Kigame, who has been challenging its policies and vices.
2 Aug 2025
- Former ICT Cabinet Secretary Margaret Nyambura Ndung'u has been appointed as senior researcher and digital policy specialist at the Digital Public Infrastructure (DPI) Safeguards Strategic Advisory Board, an initiative by the United Nations Office for…