"Nimesomesha watoto 38 katika shule za kulipia"

  • | BBC Swahili
    546 views
    Pili Hussein mwanamke kutoka Tanzania alitamani kujiimarisha kimaisha na kupata utajiri kupitia madini, lakini kwa kuwa wanawake hawakuwa wanaruhusiwa kwenye migodi hiyo alivalia mavazi kama mwanamume na kuwadanganya wafanyakazi wenzake kwa zaidi ya muongo mmoja kama yeye ni mwanaume. Wakati wote wa Kazi hiyo alikua akijulikana kama mjomba Hussein, aligundulika vipi kama yeye ni mwanamke, Mwandishi wa BBC Munira Hussein alimtembelea nyumbani kwake Mererani Arusha na kuandaa taarifa ifuatayo. 🎥 @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #wanawake