"Nimeteseka, nimepitia changamoto nyingi katika maisha"

  • | BBC Swahili
    339 views
    Leo ni siku ya watu wenye matatizo ya akili na katika simulizi maalum, tunamuangazia kijana wa makamo Hirima Mbilu kutoka Mazeras Mombasa, ambaye alipata ghafla matatizo ya akili na kuanza kuzunguka mitaani. Baada ya kusaidiwa na kupitia mchakato wa matibabu, amerejea katika hali ya kawaida. Mwandishi wa BBC Asha Juma amekutana naye na kuangazia safari yake ya maisha. 🎥: Judith Wambare - #bbcswahili #mombasa #sikuyaafyayaakili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw