Skip to main content
Skip to main content

'Nimezaliwa na sehemu mbili za uke na sijawahi kupata hedhi'

  • | BBC Swahili
    2,686 views
    Duration: 15:42
    Abigael Kendi, binti mwenye umri wa miaka 19, kutoka Kenya aliyezaliwa na mlango wa kizazi mara mbili, tumbo la uzazi mara mbili, uke mara mbili na figo moja. Asha Juma alipata fursa ya kuzungumza naye na kuangazia changamoto anazokumbana nazo. Abigael amekukuwa akipitia changamoto ya maradhi kutokana na hali yake aliyozaliwa nayo kutoka mwaka 2020 hadi sasa. #bbcswahili #waridiwabbc #abigaelkendi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw