"Ninajuta kuwekeza kwenye mahusiano"

  • | BBC Swahili
    11,292 views
    Wakati ripoti mbalimbali za kijamii zikieleza kuwa wanawake ni waathirika wakuu kwenye mahusiano ambayo husababisha kuwarudisha nyuma kimaendeleo, nchini Tanzania - Grace Urassa alihitaji ujasiri uliomwezesha kujinasua katika uhusiano uliokuwa mchungu na hatimaye kuwa mfano wa kuigwa kwa wengi wanaopitia changamoto hasa zinazosababishwa na uhusiano. - Amemweleza @martha_saranga wapi alikopata msukumo wa kupigania maisha yake tena lakini pia maisha yake yalibadilika vipi baada ya uhusiano wake kuvunjika - - #bbcswahili #ufugaji #ujasiriamali #wanawake#mahusiano #familia #ndoa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw