Skip to main content
Skip to main content

'Ninasehemu mbili za uke na sijawahi kupata hedhi'

  • | BBC Swahili
    5,327 views
    Duration: 2:08
    Abigael Kendi ni msichana kutoka Kenya aliyezaliwa na hali nadra ya kiafya ambapo ana milango miwili ya kizazi, matumbo mawili ya uzazi, sehemu mbili za uke na figo moja. Asha Juma amepata fursa ya kuzungumza naye na kutuandalia taarifa hii. Simulizi hii utaipata kwa urefu hapa hapa katika ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili #bbcswahili #waridiwabbc #abigaelkendi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw