"Ninawapenda tembo hawa ninauhusiano nao wa kipekee tangu nilipokuwa mdogo."

  • | BBC Swahili
    536 views
    Wamiliki wa tembo wa Thailand wanageukia mitandao ya kijamii kwa kutuma video za moja kwa moja mtandaoni ili kupata pesa na michango ya kulisha wanyama wao. Janga la Covid lilikuwa na athari mbaya kwa kupunguza idadi ya watalii wanaotembelea tembo na wamiliki wengi hawapati tena kipato cha kutosha kuishi. #bbcswahili #thailand #tembo