Nini kifanywe kuliokoa jahazi la serikali ya ubia Zanzibar?

  • | BBC Swahili
    5,870 views
    Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar ACT Wazalendo kimetangaza nia ya kujiondoa katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa - SUK ikidai kushindwa kufikiwa kwa masuala muhimu ambayo yalikuwa msingi wa ACT kujiunga na SUK. #bbcswahili #zanzibar #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw