- 14,682 viewsDuration: 51sUmoja wa Ulaya umefikia makubaliano ya kulitangaza Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kama kundi la kigaidi. Hayo yanajiri wakati Iran ikionya kuwa iwapo itashambuliwa na Marekani au washirika wake, itajibu kwa haraka, kwa shambulilo lisilo na kifani. Sasa mvutano huu kati ya Tehran, Washington na Israel ukiendelea kuongezeka, je, nini kitafanyika endapo Rais Donald Trump ataishambulia Iran? @roncliffeodit anatathmini hilo kwa kina katika Dira ya Dunia TV saa tatu usiku kupitia ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #marekani #iran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw