- 47,610 viewsDuration: 2:13Maoni yamegawanyika juu ya nini hasa maana ya kikwazo cha Marekani dhidi ya Afande Faustine Mafwele. Namna moja ya kuiangalia ni kwamba Marekani inatuma ujumbe ikisema tumekiona kilichotokea hatujafurahishwa na tumechukua hatua. Serikali ya Tanzania imesema haijapata rasmi taarifa hizi za Mafwele kuwekewa vikwazo. Kwa ujumla, serikali imekuwa ikikanusha shutuma hizi kwamba maafisa wake wanajihusisha na matukio ya utekaji. Mwandishi wa BBC @sammyawami na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #tanzania #MAREKANI #Maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw