'Nitaitafutia Simba umaarufu nje ya Tanzania na Pesa' Barbara Gonzalez

  • | BBC Swahili
    “Nimekuwa nikitekeleza majukumu ya Afisa mkuu mtendaji wa klabu Simba kwa niaba ya Mohamed Dewji @moodewji kwa miaka 4 sasa.” Mtendaji mkuu wa Simba @simbasctanzania ya Tanzania Bi Barbara Gonzalez. #Simbasc #BarbaraGonzalez #Maono