Skip to main content
Skip to main content

Njia rahisi ya uvunaji wa Senene Tanzania

  • | BBC Swahili
    3,098 views
    Duration: 1:13
    Kundi la vijana mkoani kagera nchini Tanzania wametengeneza mitego ya kuvuna senene ambayo ni rafiki kwa mazingira na ina hakikisha usalama wa mavuno. Mitego hiyo ni mbadala wa mitego ya kiasili ambayo licha ya kuchafua mazingira hutumia nafasi kubwa na ni hatarishi Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds aliwatembelea na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #senene Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw