Noordin Haji aapishwa kama Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Ujasusi

  • | Citizen TV
    438 views

    Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma, Noordin Haji ameapishwa baada ya bunge la kitaifa kuidhinisha uteuzi wake kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Ujasusi.