NPSC yalalamikia kunyimwa rekodi za polisi

  • | Citizen TV
    295 views

    Tofauti kati ya tume ya kuwaajiri maafisa wa polisi NPSC na idara ya polisi zilishuhudiwa bungeni leo, NPSC ikilalamikia kunyimwa rekodi za maafisa wa polisi walioajiriwa nchini wabunge wakiibua maswali kuhusu nini kinachofichwa kwenye rekodi hizo