Nsereko mwandishi wa Uganda aliyeko uhamishoni alivyoteswa kwa kusimamia maadili

  • | VOA Swahili
    165 views
    Lawrence Kiwanuka Nsereko aliyeko uhamishoni asimulia madhila yaliyomkuta wakati akiwa mwandishi nchini Uganda kutokana na kushikamana na maadili ya kazi yake. Aeleza vitisho na hatimaye nguvu ya dola ilivyomshughulikia wakati alipokataa kukubaliana na utawala uliokuwa madarakani wa Rais Yoweri Museveni. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.