Skip to main content
Skip to main content

NTSA yaanzisha mpango wa kutoa logbook mtandaoni

  • | Citizen TV
    48 views
    mamlaka ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA imeanzisha program mpya ya kutoa vitabu vya usajili wa magari yaani logbook kupitia mtandao. Akiongea na wanahabari huko seku kaunti ya kitui, mukurugezi mkuu wa (NTSA) Nason Kondiwa alisema kwamba hii itamaliza wizi na wanainchi kutumika vibaya . logbook za kidijitali zitaanza kutolewa ndani ya mwezi mmoja ujao.