Nukuu maarufu zaidi za Papa Francis

  • | VOA Swahili
    293 views
    Papa Francis anaujumbe mzito kwa dunia. Katika moja ya nukuu zake maarufu, "Afrika inatoa uzuri kwa dunia na utajiri wa asili jambo linalo hamasisha kumtukuza Muumba. Rasilmali za Afrika na za wanaadamu wote zinakabiliwa kila siku na hatari ya maangamizi yanayo sababishwa na ubinafsi wa kila namna wa kibinadamu na hali ya kudhalilisha maskini na kutengwa ..." Endelea kusoma ujumbe huu mzito.... #papafrancis #ujumbe #nukuumashuhuri #Afrika #dunia #utajiri #voa #voaswahili #drc #kinshasa - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.