Nyanya aomba msaada wa kujengewa nyumba baada ya kutaabika na wajukuu wake

  • | West TV
    85 views
    Ajuza mmoja kutoka kijiji cha Ebukwera kata ndogo ya Eshirembe eneo bunge la Butere hulazimika kukimbilia kulala kwa jirani na wajuku wake haswa wakati mvua inaponyesha baada ya paa la nyumba yao kuharibiwa na mvua iliyokuwa imeandamana na mawe