Nyimbo na densi zapanda sherehe za ndoa ya wamaa

  • | Citizen TV
    326 views

    kwa jamii ya wamaa, Nyimbo na densi hushamiri kwenye hafla ya kitamaduni ya ndoa. sehemu muhimu zaidi ya hafla hiyo huwa " kutemewa mate" na wazee au kupokea Baraka za wazee. Nancy Kering alihudhuria sherehe ya kubariki bibi harusi katika kaunti ya Kajiado ambapo hata Mavazi na mapambo yalikuwa ya kipekee