'Nyimbo yetu na Shaggy imenifungulia milango'

  • | BBC Swahili
    1,479 views
    Bruce Melodie @brucemelodie ni mwanamuziki maarufu Afrika Mashariki na sehemu mbali mbali duniani ambapo nyimbo zake ikiwemo Katerina imejizoelea umaarufu mkubwa @brucemelodie, 33, na mshindi wa kipengele cha msanii Bora wa Rwanda kwenye tuzo za Trace za 2023, ameweza kushirikiana na wanamuziki maarufu akiwemo @direalshaggy. Mwandishi wa BBC @annengugi alikutana naye nchini Kigali ambapo alimsimulia safari yake ya muziki. 🎥: @judith_wambare #bbcswahili #rwanda #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw