Nyongeza ya mishahara ya walimu

  • | K24 Video
    43 views

    Ni afueni kwa walimu baada ya mwajiri wao TSC kuitikia wito wa kuwaongeza mishaharawalimu sasa watapokea nyongeza ya kati ya asilimia 7 hadi asimilia 10 kulingana na ngazi yao ya mshahara walioko maeneo ya mashinani watafaidika na mabadiliko ya marupurupu ya nyumba. Mwalimu wa chini zaidi sasa atapata nyongeza ya shilingi 4,164 kwa mshahara wake