Nyoro aikosoa serikali kufuatia uzinduzi wa mradi wa Talanta Sports City

  • | TV 47
    32 views

    Nyoro aikosoa serikali kufuatia uzinduzi wa mradi wa Talanta Sports City.

    Ameutaja mradi huo kuwa ni aina ya ukopaji wa kizembe nchini.

    Mpango huo uliorodheshwa kwenye Soko la Hisa la Nairobi.

    Utafadhili ujenzi wa Talanta Sports City kabla ya AFCON 2027.

    Amesema walipakodi watalipa zaidi ya 100B katika muda wa miaka 15.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __