NYS kutoa hifadhi kwa waathiriwa wa mafuriko

  • | KBC Video
    18 views

    Rais William Ruto ameagiza huduma ya taifa ya vijana kuwapa hifadhi maelfu ya waathiriwa wa mafuriko yanayoshuhudiwa humu nchini. Ruto aliyeongoza mkutano wa dharura wa kikosi kipya cha mashirika mbalimbali kilichobuniwa ili kukabiliana na majanga, alisema waathiriwa hao pia watasaidiwa kwa chakula pamoja na bidhaa nyingine za kimsingi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive