NYS yapata miaka-10 iliyopita bila kuwapa malipo baadhi ya wasambazaji bidhaa

  • | KBC Video
    149 views

    Baadhi ya wasambazaji bidhaa sasa wanadai malipo ya zaidi ya shilingi bilioni 4 kutoka kwa shirika la vijana wa huduma kwa taifa-NYS yapata miaka-10 iliyopita. Kundi hilo linadai kuwa lilipewa zabuni ya kusambaza bidhaa na huduma kwa miradi mbalimbali iliyokuwa ikitekelezwa na shirika la NYS na hawajalipwa hadi sasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News