Nyuki wawavamia waombolezaji Kirinyaga

  • | NTV Video
    1,128 views

    Kizaazaa kilizuka katika hafla ya mazishi katika mji wa ngurubani kaunti ya Kirinyaga. Ni baada ya nyuki kuvamia maziko ya ya mwalimu mstaafu faith njeri mwenye umri wa miaka 76. Nyuki hao waliwashambulia waombolezaji na kuwaacha baadhi yao wamejeruhiwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya