Nyumba iliyokuwa akijengewa marehemu Kelvin Kiptum yakamilishwa kwa siku 7

  • | Citizen TV
    3,242 views

    Nyumba iliyokuwa ikijengewa familia ya marehemu mwanaridha Kelvin Kiptum imekamilika katika chini ya siku saba na kukabidhiwa familia hiyo. John Wanyama ana maelezo zaidi kuhusu teknolojia iliyotumika kwa ujenzi wa haraka.