Nyumba za bei nafuu zapingwa Mombasa

  • | Citizen TV
    4,278 views

    Wakazi Wa Tudor Na Moroto Eneo Bunge La Mvita Kaunti Ya Mombasa Wanafanya Maandamano Kulalamimka Hatua Ya Ujenzi Wa Nyumba Za Bei Nafuu. Wakaazi Hao Wanailaumu Serikali Ya Kaunti Kwa Kutowahusisha Wala Kuwapa Taarifa Kuhusu Kinachoendelea. Sasa Wanahofia Makazi Yao Yatabomolewa