Nyumba za Buxton I Wapangaji wa zamani wadai kutengwa baada ya kunyimwa kumiliki nyumba mpya

  • | KBC Video
    40 views

    Wapangaji wa zamani wa nyumba za Buxton katika kaunti ya Mombasa wanadai kuchengwa baada ya kunyimwa fursa ya kumiliki nyumba hizo mpya. Kupitia chama chao, wapangaji hao wanadai hakuna uwazi katika ugavi wa nyumba hizo huku wapangaji wapya wakipewa fursa ya kwanza kumiliki nyumba hizo za bei nafuu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #TheGreatKBC #buxton