Nyumba za Gharama Nafuu I Wahasibu wataka Wakenya wote washirikishwe

  • | KBC Video
    41 views

    Chama cha wahasibu humu nchini kinasema kwamba ili kufanikisha mpango wa nyumba za gharama nafuu, suala la umiliki ardhi lazima lishughulikiwe kikamilifu. Wakiongozwa na mwenyekiti, Philip Kai Kai wahasibu hao waliofika mbele ya kamati ya bunge kuhusu fedha walipendekeza ukarabati na kurejeshwa kwa ardhi iliyoharibiwa yakiwemo matimbo ya mawe ili itumiwe kwa miradi ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu badala ya kubomoa makazi ya raia. Hali kadhalika wanataka ushuru wa nyumba ujumuishe kila Mkenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive