Nyumba za kibiashara mjini Kitale zitapakwa rangi ya kijani kwenye harakati za kuinua hadhi ya mji

  • | Citizen TV
    3,634 views

    Serikali ya kaunti ya Trans-Nzoia inaendeleza harakati za kunadhifisha mji wa kitale, ikiwa na lengo la kupandishwa ngazi pamoja na kuwavutia wawekezaji. Wafanyabiashara sasa wakiagizwa kupaka rangi ya kijani kwenye nyumba zao zote za kibiashara ili kuboresha muonekano wa mji huo.