"Nzi chuma si mchafu, bali anabadilisha uchafu kuwa thamani"

  • | BBC Swahili
    733 views
    Kutana na Angela Mauto maarufu kama mama wadudu @mama_wadudu_black_soldier ambaye amejikita katika ufugajiwa wa asili wa Nzi chuma ambao hutumika kama chakula cha Wanyama na hata mbolea katika kilimo. Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda alikutana na Angela na kuandaa taarifa hii. 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #tanzania #nzichuma Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw