Nzige wageuzwa kuwa chakula cha kuku na faida kwa wakulima

  • | BBC Swahili
    Kwa muda sasa baa la nzige limeikumba Pakistan na kusababisha hasara kwa wakulima nchini humo. Serikali ya nchi hiyo hata hivyo imebadili adha hiyo kuwa ahueni baada ya kuhamasisha ununuaji nzige kutoka kwa wakulima ili kuwa chakula cha kuku. #Pakistan #Nzige #Akilinimali