20 Feb 2026 1:08 pm | Citizen TV 200 views Duration: 50s Aliyekuwa gavana wa Migori, Zacharia Okoth Obado, anataka kesi ya mauaji ya Sharon Beryl Otieno itupiliwe mbali, akisema hakuna ushahidi wowote unaohusisha na mahitaji hayo.