ODM kimesisitiza kuwa kitahakikisha kiti cha naibu gavana,kaunti ya Nairobi kinatengewa chama hicho

  • | KBC Video
    Chama cha ODM kimesisitiza kuwa kitahakikisha kiti cha naibu gavana wa kaunti ya Nairobi kinatengewa chama hicho. Akiongea katika makao makuu ya chama hicho jijini Nairobi, katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna alisisitiza kuwa mchango wa chama hicho katika uatekelezaji wa shughuli za nchi hii haufai kupuuzwa . Haya yanajiri huku chama hicho kikizindua maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2022. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive