Skip to main content
Skip to main content

ODM yataka makubaliano na serikali kutekeleza ajenda 10

  • | Citizen TV
    546 views
    Viongozi wa odm sasa wanataka serikali kutekeleza kikamilifu ajenda 10 za makubaliano yaliyoafikiwa kati ya marehemu Raila Odinga, na Rais William Ruto. Kinara wa ODM, Dkt. Oburu Oginga amesema maswala yote yalikuwa muhimu na yanahitaji kushughulikiwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Alikuwa akizungumza wakati wa hafla ya kuwapokea washindi wa odm kwenye chaguzi ndogo za alhamisi iliyopita.