Skip to main content
Skip to main content

Ofisi ya Katibu wa kaunti ya Isiolo yateketezwa

  • | Citizen TV
    473 views
    Duration: 1:57
    Hali ya taharuki imetanda katika kaunti ya Isiolo baada ya watu wasiojulikana kuteketeza ofisi ya katibu wa kaunti hiyo na kuharibu mali ya bunge la kaunti hiyo.