Ofisi ya mwanasheria mkuu yakusanya maoni Kericho

  • | Citizen TV
    164 views

    Wakazi katika Kaunti ya Kericho walijitokeza kwa wingi kutoa maoni na mapendekezo ya kurekebisha sheria ya ufisadi, ile ya jinai, na ya kupokea maoni ya wakenya